ANGALIA PICHA ZA MATUKIO KATIKA KUAPISHWA KWA WAKUU WA WILAYA SITA MKOANI MARA.
MKUU WA WILYA YA BUNDA LYDIA SIMEON AKIAPA MBELE YA MKUU WA MKOA JANA. |
MKUU WA WILYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKIAPA MBELE YA MKUU WA MKO WA MARA. |
MKUU WA WILAYA YA TARIME AKITIA SAINI BADA YA KUAPISHWA. |
WAKUU WA WILYA |
WAKUU WA WILAYA. |
MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA AKITOA HOTUBA YAKE JANA. |
PICHA YA PAMOJA MKUU WA MKOA AKIWA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA |
PICHA YA PAMOJA MKUU WA MKOA AKIWA NA KAMAT YA ULINZI NA USALA WILAYA ZOTE. |
PICHA YA PAMOJA MKUU WA MKOA AKIWA NA VIONGOZI WA DINI KWA NYUMA. |
PICHA YA MKUU WA MKOA AKIWA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZOTE. |
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKIVALISWA TAJI. |
PICHA YA PAMOJA MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKIWA NA FAMILIA YAKE WA KWANZA NI KATIBU TAWALA WILAYA YA TARIME JOHN MARWA AKIFUATIWA NA MKUU WA MKOA WA MARA . |
PICHA YA PAMOJA WA KWANZA KULIA NI MKURUGENZI WA WILAYA YA SERENGETI |
PICHA ZA MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA ALIPOKUWAANAFANYIWA MAHOJIANO JANA BAADA YA KUAPISHWA. |