Askari wasiowapigia saluti wabunge kukatwa mishahara



Agizo hilo limetolewa leo bungeni na Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Umwagiliaji William Ole Nasha wakati akijibu swali kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.Serikali imetangaza adhabu ya kuwakata mishahara na adhabu nyingine askari polisi wote nchini ambao hawatawapigia saluti wabunge wa Bunge la Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 
Agizo hilo limetolewa leo bungeni na Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Umwagiliaji William Ole Nasha wakati akijibu swali kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Powered by Blogger.