ANGALIA PICHA ZA WANAWAKE WAJASILIAMALI WA JUKWAA LA SIRARI WILAYANI TARIME MKOANI MARA HII LEO KATIKA UKUMBI WA KANGARA KATIKA MAFUNZO A
AKINA MAMA WAKIFUNDISHWA UMHIMU WA MATUMIZI YA BANK. |
PICHA YA PAMOJA BAADA YA MAFUNZO HAYO KUFUNGWA RASMI NA MKUU WA WILAYA YA TARIME. |
MENEJA BIASHARA BANKI YA CRDB TAWI LA TARIME AKITOA SOMO KWA AKINA MAMA WAJASILAMALI HAO KUHUSU UMHIMU WA BANKI. |
MKURUGENZI MTENDAJI WA TWCC F LORA RIMOYI AKITETA JAMBO NA KATIBU WA TWCC MKOA WA MARA NOELA GACHUMA HII LEO KATIKA SEMINA YA WAJASILIAMALI HII LEO. |
KATIBU WA JUKWAA LA WANAWAKE SIRARI NOELA GACHUMA AKIMUKARIBISHA MKUU WA WILAYA HII LEO. |
MKURUGENZI MTENDAJI WA TWCC FLORA RIMOYI AKIONGEA NA AKINA MAMA HII LEO KATIKA KUFUNGA MAFUNZO HAYO. |
MWENYEKITI WATANZANIA WOMEN CHAMMBER OF COMMSRCE( TWCC)MKOA WA MARA SAFIA CHACHA AKISOMA RISALA MBELE YA MKUU WA WILAYA YA TARIME. |