ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KATIKA KUFUNGA MAFUNZO YA UJASILIAMALI KWA WATOTO WA KIKE YALIYOTOLEWA NA SHIRIKA LA JUKWAA LA UTU WA MTOTO( CDF)

PICHA YA AFISA MAENDELEO YA JAMII WILAYA YA TARIME VICTOR KABUJE AKIMPONGEZA MMOJA WA WASICHANA WALISHIRIKI KATIKA MAFUNZO HAYOKWA SIKU NNE NA KUFUNGWA HII LEO.
AFISA MAENDELEO AKISHUDIA BAADHI YA BIDHAA ZILIZOTENGENEZWA NA WASICHANA HAO.
AFISA MAENDELEO YA JAMII WILAYA YA TARIME MKOANI MARA VICTOR KABUJE AKIMPONGEZA MMOJA WA WASICHANA HAO ZAIDI YA 50 WALIOPATA MAFUNZO YA UJASILIAMALI KATIKA UTENGENEZAJI WA SABUNI PAMOJA NA BATIKI . 
NI BADHI YA BIDHAA ZILIZOTENGENEZWA NA WASICHANA HAO BAADA YA MAFUNZO YA SIKU NNE
WASICHANA WALIOPTA MAFUNZO.
KAMBIBI KAMUGISHA KUTOKA SHIRIKA LA JUKWAA LA UTU WA MTOTO CDF AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA MGENI RASMI KABLA YA KUFUNGA MAFUNZO HAYO HII LEO.


PICHA YA PAMOJA BAADA YA MFUNZO HAYO .

Powered by Blogger.