ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KATIKA SIKU YA MTOT WA AFRIKA WILAYANI TARIME MKOANI MARA YAMEADHIMISHWA KATIKA KATA YA BUMERA KIJIJI CHA KITENGA KIWILAYA.

MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKIKABIDHI ZAWADI KWA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA MSINGI  IKIWEMO SM KITENGA,WALIOFANYA VYEMA.

MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKITOA UJUMBE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA AMBAPO WILAYANI TARIME KIWILYA YAMEFANYIKA  KIJIJI KITENGA KATA YA BUMERA.
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKITETA JAMBO NA AFISA MAUHUSIANO MGODI WA UCHIMBAJI WA DHAHABU ACACIA ZAKAYO KAREBO.
MKUU WA WILAYA YA TARIME AKISALIMU BAADHI YA WANAFUNZI KATIKA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA HII LEO.
MWALIMU SOPHIA RANGE AKIONGOZA NYIMBO HII LEO KATIKA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA.
MWALIMU SOPHIA RANGE AKITOA SIMULIZI  KWA WANAFUNZI KUHUSU MATUKIO YALIYOSABABISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA ANAANZA KUADHIMISHWA.
WATATU KUTOKA KULIA NI MKUU WA WILAYA YA TARIME AKIFUATIWA NA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME ATHUMANI AKALAMA AKIFUATIWA NA DIWANI WA  KATA YA BUMERA.
WANANCHI WAKICHEZA NGOMA YA ASILI RITUNGU KWA WAKURYA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFIKA.
MWALIMU AKIKABIDHIWA MPIRA KWA AJILI YA MICHEZO.

                               PICHA ZOTE NA CLEO NEWSTZ.
Powered by Blogger.