ANGALIA PICHA ZA MATUKIO KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU WILAYANI RORYA.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYANI RORYA MKOANI MARA SAMWEL KIBOYE AKIONGEA NA WAJUMBE KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CHAMA KATIKA KUWASILISHA TAARIFA ZA ILANI YA CHAMA.
AKISISITIZA JAMBO KATIKA KIKAO HICHO.
MKUU WA WILAYA YA RORYA FELIX LYANIVA AKIFAFANUA JAMBO KWENYE KIKAO HICHO.
WAJUMBE KATIKA KIKAO HICHO.
 
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA CHARLES CHACHA AKIWASILISHA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA NIABA YA MKUU WA WILAYA YA RORYA FELIX LYANIVA.
Powered by Blogger.