UONGOZI WA KIJIJI WASHAURIWA KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA MWEKEZAJI WA MGODI WA ACACIA.
UONGOZI
WA KIJIJI WASHAURIWA KUWA NA MAHUSIANO
MAZURI NA MWEKEZAJI WA MGODI WA ACACIA.
UONGOZI wa kijiji cha Kerende Wilayani Tarime mkoani Mara
umeshauriwa kujenga mahusiano mema na wawekezaji waliopo kwa
lengo la kujiletea maendeleo ya kijiji na Wilaya kwa
ujumla.
Ushauri huo umetolewa juzi na mwenyekiti mstaafu wa
kijiji cha Kerende,Mambaga Mohamed Khamisi ambapo alisema
kuwa kipindi cha uongozi wake alizingatia mahusiano mema na
wawekezaji waliopo kwa maendeleo na vijana kupatra ajira
ndani ya makapuni yaliyopo hususani kampuni kubwa ya
kuchimba madini ya dhahabu ACACIA.
"Uongozi uliopo unapaswa kuiga mifano kutoka kwa uongozi
uliopita jinsi walivyojenga mahusiano meme na wawekezaji
katika shuguli za maendeleo ambapo mahusiano hayo yalchangia
kerende kupewa baadhi ya fedha kwa shuguli za maendeleo na
ACACIA"alisema Mohamed.
Aidha Mohamed alioingeza kuwa katika kipindi chake cha
uongozi wake Mgodi wa Nyamongo ACACIA Walichimba visima
11,na pia Mgodi ulikarabati shule za msingi na sekondari
zilizopo Kerende kwa garama za kampuni.
Pia Mohamed aliongeza kuwa katika uongozi wake
wakishirikiana na serikali yake ya kijiji Zahanati ya
Kerende ilipandishwa hadhi na kuwa kituo cha Afya na kuwa
anatarajia kuona uongozi uliopo unaleta maendeleo na sio
kukalia majungu.
"Nawasihi viongozi waliochaguliwa kuendelea kushirikiana na
wawekezaji na kujenga mahusiano mema ili kujiletea maendeleo
kwa vizazi vilivyopo na vijavyo"alisema Mohamedi.
Kiongozi anaye faa hatakiwi kujenga makundi ya kibaguzi
badala yake anakumbatia watu wote kwa maendeleo ya Taifa
ikiwemo na kusikiliza ushauri kwa viongozi waliotangulia.
Mohamedi ameongeza kuwa uongozi uliopo unabaswa kuachana na
tabia ya ubaguzi ambayo ni mdudu mbaya kama ugonjwa wa
kipindupindi.