PICHA
YA PAMOJA VIONGOZI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA MKOA WA SIMIYU
BAADA YA KUFANAYA KIKAO CHA PAMOJA KATIKA UKUMBI WA THE LAKE HOME ESTATE
WILAYANI BUSEGA WA PILI KUTOKA KULIA WALIOKETI KWENYE VITI NI MBUNGE WA
VITI MAALUMU CHADEMA MKOA WA SIMIYU GIMBI DOTTO MASSABA.