Picha ya waziri wa ajira na kazi Mama Gaudensia Kabaka akikanusha tuhuma dhidi yake na Mbunge wa Jimbo la Tarime Nyambari Nyangwine huku wakidai kuwa taarifa zilizotolewa siyo za kweli bali wanachafuliwa na baadhi ya wanasiasa wenzao kwa maslahi yao binafsi. |