Picha ya Mgeni rasmi katika uzinduzi wa mradi wa maji kulia ni Walter Grigory kwa niaba ya Meneja mgodi wa ACACIA Garrya chapman katikati ni Afisa Elimu Msingi Emmanuel Johnson kwa niaba ya Mkurugenzi wakikata Utepe katika kijiji cha Nyamwaga Wilayani Tarime Mkoani Mara. |