Kulia ni mwenyekiti wa kijiji cha mjini kati Nyamongo Bagenyi Paul akimutwisha ndoo ya maji mmoja ya wakazi wa kijiji hicho baada ya kukabidhiwa mradi wa maji unatoka katika kampuni ya uchimbaji wa dhahabu ACACIA uliopo Nyamongo.