Aliyetangaza naia ya udiwani chadema atoa kipaumbele cha kupinga rushwa.
Tarime.
Aliyetangaza naia ya udiwani chadema atoa kipaumbele cha kupinga rushwa.
Tarime
Aliyetangaza
nia ya kuwania udiwani katika kata ya Nyamisangura kupitia tiketi ya chama cha
demokrasia na maendeleo CHADEMA Wilayani Tarime Mkoani Mara ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa mtaa wa
StareheBashiru Abdalah atoa kipaumbele
cha kupambana na suala zima la kupinga rushwa kwa lengo la kuleta maadaili mem katika
uongoziwake endapo chama chake kitaweza kumpa ridhaa ya kupeperusha bendera .
Bashiru
alisema hayo juzi kipindi alipokuwaakiongea na vyombo vya habari baada ya
kurudisha fomu katika ofisi za chamaicho w ya kuwania udiwani katika kata ya
Nyamisangura wilyani hapa.
Aloongeza
kuwa viongozi waliowengi wamekuwa wakikosa maadili ya utumisha kwa kujiusisha
na suala zima la kupokea na kutoa ruhwa sualaambalo linazidi kusababisha wananchi kukosa imani na
viongzi wao.
“Mimi kwa
sasa ni mwenyekiti wa mataa wa starehe lakini wananchi wangu nawaandikia barua
bila ya kuwatoza fedha zozte suala ambalo najivunia bna nitaleendeleza ili
kulinda utu wang katika uongozi ambao nitakuwa nimepewa na wananchi wangu
“alisema Bashiru.
Aidha
bashiru aliongeza kuwa katika uongozi wake tangia achaguliwe katika chaguzi
zilipopita zaserikali za mitaa tayari ameisha unda vikundi viwili vya
ujasiliamali kwa lengo la kuweka vijana pamoja ili waweze kujiendeleza na
kukuza uchumi wao.
Hata hivyo
Mwenyekiti uyo aliongeza kuwa suala la uasafi katika mtaa wake limekuwa na
kipaumbele pia wananchi wake wameweza kuitikia suala ambalo anajivunia mpaka
sasa.
………..Mwisho…….