Ni wafanya bihashara kutoka mji wa Sirari wakiwa katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilayani Tarime Mkoani Marabaada ya kuchukulia Nyambari Nyangwine fomu ya kuwania jimbo la Tarime mara ya pili.