Kushoto ni mratibu wa SACHITAGidion Baritang'we akichangia mada katika mdahalo ambao unaendela katika ukumbi wa Sachita FM radio kuhusu ukatili wa kijinsia dhidi ya Mama na Mtoto kwa lengo la kubadilisha jamii na kupunguza vitendo vya Ukatiliwa kijinsia hapa Nchini ukiwemo na mahuaji ya Vikongwe na watu wenye ulemavu wa Ngozi Albino. |