Nikatika mjadala unaoendelea sasa hivi katika ukumbi wa Sachita Fm Radio Wilayani Tarime Mkoani Mara kuhusu ukatili wa kijinsia dhidi ya Mama na Mtoto pamoja na Ukeketaji na mjadala huo umekusanya wanaharakati wakiwemo waandishi wa habari .