Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM kata ya Nyanungu Wilayani Tarime Mkoani Mara akiongea na wananchi baada ya Mgombea udiwani kuchukuoa fomu katika ofisi za chama katani hapo