Picha ya pamoja wajumbe kutoka majimbo na wilaya zilizomo ndani ya Mkoa wa Mara baada ya kupokea mipira Nane ya Netibali kutoka kwa Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Mara Ester Matiko ambaye pia ni Mwenyekiti wa wanawake  Mkoa (BAWACHA) kwa ajili ya kuhamasiha michezo kwaakina Mama.
Powered by Blogger.