Picha mbunge Viti maalumu Chadema.

Picha ya Mbunge wa viti maalumu kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Ester Matiko kushoto katikati Mwl Mkuu msaidizi Elias Masatu kulia kwake diwani wa kata ya Mukoma Kitori Lazaro wakikagua shule ya msingi Michiri yenye uhaba wa vyoo na Madawati.

Powered by Blogger.