Mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Airo akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Mirare kuhusu mgogoro baina ya Umoja wa vijiji sita (UMONI) na kampuni ya (UDAFCO) inayomilikiwa na mkurugenzi wake Otieno Igogo.