Mgeni rasmi katibu Tarafa wa Inano Bw:Marwa Chacha katikati kushoto kwake ni Ofisa Mtendaji wa kata ya Muriba Piter Ghati kulia kwake ni Ofisa Maendeleo Dorotty Jovin Wilaya ya Tarime Bi: Mkoani Mara, katika Maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika katika kata ya Muriba Tarafa ya Ingwe.