KAMANDA WA POLISI TARIME RORYA ASITIZA MAHUSIANO MAZURI BAINA YA JESHI LA POLISI NA WANANCHI:
Ni kamanda wa polisi Mkoa wa kipolisi Tarime Rorya Justus Kamugisha akitoa hotuba yake katika kongamano la jeshi la Polisi lililofanyika leo katika Ukumbi wa CMG Motel wilayani Tarime Mkoani Mara,ambapo amesistiza suala la kuwa na Mahusiano mazuri baina ya Wanachi na jeshi la Polisi
“Sisi
tumezaliwa na Nyinyi lakini tunafanya kazi za Serikali acheni kututenga
ushilikiano kwanza ilituweze kusukuma gurudumu la Maendeleo changamoto
zinazoikumba jeshi la Polisi tutazidi kutatua” alisema Kamanda wa Polisi.