Kijana aliyechukuliwa Msukule arudishwa akiwa bubu Wilayani Rorya Mkoani Mara


KIJANA Kenedy Onyango Agostine 22 mkazi wa kitongoji cha Nyambogo shuleni kijiji cha Nyambogo Kata ya Kitembe Wilayani Rorya Mkoani Mara amerudishwa Nyumbani akiwa hai baada ya kudaiwa kuwa alikuwa amechukuliwa msukule ndani ya siku 3.
Powered by Blogger.