Diwani akemea wizi wa mifugo na Imani za kishirikina Wilayani Rorya Mkoani Mara


Diwani wa kata ya kitembe Wilayani Rorya mkoani Mara Thomas Patrick akiongea na wananchi wake katika mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni katani humo uku akikeamea suala la wizi wa mifugo pamoja na imani za kishirikina kwani zimetawala katani kwake na vijiji vyake.

Powered by Blogger.