Mwizi aliyetambulika katika kijiji cha kitembe kata ya kitembe Wilayani Rorya mkoani Mara akiwa amekalishwa chini na jeshi la polisi baada ya jambazi sugu aliyetambulika kwa jina la Charles Wambura kujisalimisha na kuanza kutaja wezi wenzake