Wazee wa Mila Tarime waendelea kufunguka Vikali katika Kutoa Elimu ya Ku...
Wazee wa Mila Muungano wa koo 12 Wilaya ya Tarime Mkoani Mara wakitoa Elimu ya Kupiga Vita suala la Ukeketaji kwa Mtoto wa Kike pamoja na kupiga Vita Miiko ambayo inaendelea kukandamiza Mtoto wa kike ambaye hajakeketwa ni katika Mkutano wa hadhara kijiji cha Pemba kata ya Pemba katika Koo ya Bukira |
Elimu inaendelea Kutolewa kwa Wananchi wa kijiji cha Pemba. |
Wazee wa Mila wakiwa katika Kikao hicho |
Elias Maganya kutoka Koo ya Bukenye akitoa elimu kwa Wananchi kuhusu suala la Wazee kuondoa Miiko na kupiga Vita Ukeketaji kwa Mtoto wa Kike. |
Abel Gichaine ambaye ni Mratibu wa Huduma ya Afya na Ustawi wa Jamii Wilaya ya Tarime akifafanua kuhusu Madhara ya Ukeketaji pamona na Sheria inayolinda Mtoto ya Mwaka 2009. |
Sister Stella Mgaya ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika la ATFGM Masanga ambao ni wadau wa kupiga Vita Ukatili wa Kijinsia pia wanazunguka na Wazee hao katika Koo12 kwa lengo la kupinga Ukeketaji kwa Mtoto wa Kike . |
Mwenyekiti wa Kijiji cha Pemba akiongea na Wananchi katika Kikao hicho cha Wazee wa Mila. |
Wangubo Mtongori Mzee wa Mila Koo ya Bukira akitoa Elimu kwa Wananchi hao. |
,,,Tazama Video kupata habari Kamili,,, |