Shirika la CDF Tarime waendelea kutoa Elimu ya kupinga Ukeketaji kupitia...
Wasichana
wakicheza Mpira katika Kijiji cha Kegonga Kata ya Nyanungu Wilayani
Tarime Mkoani Mara Michezo iliyoandaliwa na Shirikla la Jukwaa la Utu wa
Mtoto CDF Tarime lengo ni kufikisha Ujumbe wa Kupiga Vita Ukeketaji na
Ndoa za Utotoni kupitia Michezo mbalimbali yakiwemo Maigizo, Ngonjera,
Nyimbo, Shairi na Maigizo yenye jumbe za Kupinga Ukatili dhidi ya Mama
na Mtoto.
Michezo inaendelea.
Nyimbo zikieendelea lengo ni kufikisha ujumbe kwa jamii.
Pia Shairi lenye jumbe linatolewa.
Akina Mama kijiji cha Kegonga wakitoa Igizo na kuonyesha Madhara ya Ukeketaji kwa lengo la kufikisha Ujumbe kwa Jamii.
Viongozi mbalimbali wakianagalia Michezo inayoendelea
Jamii wakiwemo Watoto wakishudia Michezo mbalimbali
Siwema
Sylivester akisisitiza jambo katika jamii ambapo amezungumzia Suala la
Elimu kwa jamii na kutoa taarifa pale wanapoona Ukatili ukitendeka.
Zawadi mbalimbali zikitolewa kwa Washindi katika Michezo iliyofanyika Maeneo hayo.
,,,,Tazama Video kupata habari Kamili,,,