Shirika la ATFGM Masanga watoa Semina ya kutambua hakiza Mtoto kwa Maof...
Washiriki wa Semina hiyo wakiwemo Maofisa Elimu, Afya, Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii wakiwa katika Semina iliyoandaliwa na Shirika la ATFGM Masanga kwa lengo la kuwajengea uwezo juu ya Kulinda na kutetea haki zaWatoto pamoja na kupinga Masuala ya Ukatili wa Kijinsia. |
Ostack Mligo ambaye ni Wakili akiendesha Semina hiyo katika Ukumbi wa MCN Mjini Tarime. |
,,,,Tazama Video hapa Chini kupata habari kamili,,,, |