Katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM Tarime Remmy apiga tafu kikundi cha ...



Picha
ya pamoja katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM Wilaya ya Tarime Remmy
Paschal baada ya kutoa Msaada wa Tisheti45 pamoja na Shilingi Elfu
Hamsini kwa kikundi cha Uhuru na Haki UVCCM kata ya Susuni huku
akizidi kusisitiza jamii kuunda Vikundi kwa lengo la kupata Mikopo ili
kuondokana na Utegemezi.

Wanakikundi
cha Uhuru na Haki UVCCM Kata ya Susuni wakisikiliza Mgeni rasmi ambaye
ni Katibu wa hamasa na Chipikizi UVCCM Tarime Remy Paschal

 ,,,Tazama Video hapa chini alichokisema Remmy,,,
Powered by Blogger.