Full Video Dc Luoaga akikagua Mipaka ya hifadhi ya Serengeti ili kumaliz...
Mkuu
wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akisoma ramani katika ya Mpaka wa
hifadhi Kitongoji cha Nyabirongo Kijiji cha Nyabirongo kata ya Kwihancha
ili kuondoa Migogoro ambayo imekuwa ikijitokeza baina ya Mhifadhi na
Wananchi pale Mifugo inapoingia ndani ya hifadhi.
Mhifadhi
Msimamizi kanda ya Kaskazini mwa hifadhi ya Serengeti Lameck Emmanuel
akionyea Mkuu wa Wilaya jinsi ramani inavyoonyesha mipaka hiyo.
Wakielekea Eneo la kupima Mita 500 kutoka kwenye Mpaka wa hifadhi hiyo ya Serengeti.
Mkuu
wa Wilaya ya Tarime Luoga akichimba shimo kwa ajili ya kuweka alama
inayoonyesha Mita 500 kutoka Mpakani mwa hifdhi ya Serengeti.
Asilimia kubwa Wananchi wamevamia maeneo ya hifdhi na kufanya shughuli za kilimo jambo ambalo ni Kinyume cha sheria lazima waondoke mara moja. |
Mkuu wa Wilaya Luoga akiangalia Kobe
Ocd wa Wilaya ya Polisi Nyamwaga Majula akimwangila Kobe.
Baadhi ya alama za Mipaka ya hifadhi ya Serengeti na kisha kupima Mita500 kutoka katika Mpaka huo.
Wakisoma Ramani.
Wakiondoa Mawe ambayo yanaewekwa kwenye njia ili Magari ya Askari yasipite kuwakamata waharifu katika hifdhi hiyo.
,,,,Tazama
Full Video hapa Chini kuhusu tukio la kukagua Mipaka hiyo katika kata
ya Kwihancha na Nyanungu kwa kuwashirikisha viongozi wa Vitongoji,
Vijiji na Madiwani kata huska,,,