Video Tazama kijana aliyejenga Hotel juu ya Mti Tarime

Hotel
iliyojengwa juu ya Mti Urefu wa futi 19 kutoka Chini hadi juu na kijana
aitwaye Michael Anderw maarufu Matiko mkazi wa mtaa wa Nyamihutwa kata
ya Nyamisangura Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara  hotel hiyo inaweza
kubeba watu 30 kwa wakati mmoja.
         ANGALIA PICHA MBALIMBA ZA HOTEL HIYO.





Mkurugenzi
Mtendaji wa CLEO24NEWS akiwa na kijana Matiko ambaye amejenga Hotel juu
ya Mti ili kiwe kivutio kwa watanzania kwa lengo la kujiingizia kipato.


Mkurugenzi Mtendaji wa CLEO24 NEWS akipanda katika Hotel hiyo.



Moja ya viti vya asili ambavyo ametengenneza kijana huyo.


Viti vya asili.
TAZAMA VIDEO KIJANA ALIYEJENGA HOTEL JUU YA MTI AKISIMULIA ZAIDI.


Powered by Blogger.