Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema kuwa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita unaojengwa wilayani Chato utakapokamilika utatumika kusafirisha madini, watu na vifaa. ==>Msikilize hapo chini akitoa majibu bungeni