DC.MUSOMA AZINDUA UPIGAJI CHAPA MIFUGO.




DR. Naano akizindua shughuli ya upigaji chapa wa Ng'ombe katika wilaya ya musoma.

Alie inamaa ni DC wa musoma akiwa anafanya maandali kuzindua zoezi

Mkuu wawilaya akitoa somo la ufugaji bora kwa mmoja ya wafugaji


Maafisa mifugo wakiweka mazingira sawa kuweka alama aliyeshirikilia mti ni Dr mjema afisa mifugo musoam





Mwakilishi wa star tv musoma akifanya mahojiano na Dc mara baada ya zoezi la kupiga chapa.





Mkuu wawila ya musoma akinanena jambo na Dr mjema mara baada ya shughuli kuzinduliwa.



Dc Naano akiwa na baadhi ya wafugaji wakibadirishan mawazo
























Ngombe wapatao 85,000 wanatarajiwa kuwekwa alama maalumu ya utambuzi itakaweza kusaidia kujulika na mifugo ya kila eneo wilayani musoma.



ambapo sasa novemba 14 mkuu wawilaya ya musoma dkt. Vicent Naano amezindua rasimi uwekaji alama huo katika kijiji cha tegeruka huko katika hlamshauri ya musoma lengo ikiwa nikupunguza wizi lakini pia alisema kuwa nikuitambua mifugo iliyoka katika eneo husika.
                 PICHA ZOTE NA MAKALI BOG
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI DC AKIZUNGUMZIA SUALA LA MIFUGO


Powered by Blogger.