Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama katika ziwa Victoria.Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kubaini kama kuna watu waliosahaulika majini. Taarifa zaidi inakuja hivi punde.. Chanzo-Muungwana blog