Tazama picha: CHADEMA Tarime waungana kuombea Lissu.



Wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilayani Tarime Mkoani Mara wakiwa katika ofisi za chama hicho kwa ajili ya kumwombea Lissu kutokana na tukio la kushambuliwa na risasi akiwa Dodoma.

Wanachama wa chama hicho wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali.


Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Tarime Thobias Ghati akifafanua jambo kipindi wakiongea na waandhishi wa habari.





Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara Mwl Chacha Heche akifafanua jambo katika Kikao hicho ambapo amesema kama chama wamelaaini Vikali kitendo cha Lissu kushambuliwa kwa risasi.


Powered by Blogger.