Machage achuguliwa tena Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Tarime
| Kura za Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Tarime zikihesabiwa baada ya uchaguzi huo hii leo katika Ukumbi wa Halmashauri hiyo. |
| Mkurugezni wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi akionesha wajumbe baasha yenye majina ya wagombea. |
| Mkurugezni wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi akisoma majina ya wagombea. |
| Afisa utumishi Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Kelvin Mkirya akitoa utaratibu wa Chaguzi hizo. |
| Aliyekuwa mgombea makamu mwenyekiti kupitia ccm John Mbusiro akiomba kura ambapo amepata kura 14 kati ya 34. |
| Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Bathromeo Machage CHADEMA akipiga kura ambapo ameibuka Mshindi kwa kura 20 kati ya 34 . |
| Aliyekuwa Mgombea CCM akipiga kura. |
| TAZAMA VIDEO ALICHOKISEMA MAKAMU MWENYEKITI BAADA YA KUCHAGULIWA. |