WANAFUNZI WA MEMKWA MKOA WA MARA WAPEWA VIFAA VYA SHULE
| Mwenyekiti Mwenza Mara Alliance Father Cleophas Sabure akikabidhi vifaa vya Shule kwa Mwanafunzi wa MEMKWA Katika kituo cha Memkwa kilichopo Shule ya Msingi Kesangura Wilayani Tarime Mkoani Mara, Vifaa hivyo vinatolewa na Muungano wa wadau wa Maendeleo Mkoa wa Mara kwa kushirikiana na Taasisi ya Gracal Machel Trust. |
| Mwenyekiti mwenza Mara Alliance Father Cleophas Sabure akiongea na Wanafunzi wa MEMKWA, Wazazi na Walezi kabla ya kugawa vifaa hivyo kwa wanafunzi. |
| Walimu wa MEMKWA wakipatiowa vifaa vya kufundishia |
Walimu wakipewa vifaa vya kufundishi
| Tunashukuru kwa Vifaa hivi. |
| Picha ya pamoja kutoka kushoto ni Mwenyekiti mwenza Mara Alliance Fafher Cleophas Sabure. |
HABARI ZAIDI TAZAMA VIDEO HAPA CHINI.