Mbunge wa jimbo la Tarime Vijijini John Heche akiongea na wananchi wa Sirari katika Mkutano wa hadhara TAZAMA VIDEO UONE MBUNGE HECHE ALIVYOSINDIKIZWA NA WANACHI KWA MADAI KUWA POLISI WANATAKA KUMKAMATA BAADA YA MKUTANO WAKE.