MAMBO YAMEANZA, WANACHAMA WANAPULIZWA NA KIPUPWE TU MKUTANO WA SIMBA
Mkutano mkuu wa Klabui ya Simba
umeshaanza muda mfupi uliopita kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu
Nyerere (Mwalimu Nyarere international Conference Centre).
Ukumbi huo wa kisasa kabisa nchini upo maeneo ya Ocean Road, jirani na Chuo cha Usimamizi wa fedha (IFM), ni mara ya kwanza kwa klabu hiyo kufanyia mkutano wake kwenye kituo hicho kilichobeba jina la Baba wa Taifa.
Tayari wanachama wa klabu hiyo wameshawasili na mkutano umeanza huku kukiwa na kipupwe tofauti na mikutano mingine iliyopita ambapo imekuwa ikifanyika kwenye sehemu za wazi au kweny ukumbio ambao hauna kipupwe.