Wallace Karia amewabwaga wapinzani wake na kushinda nafasi ya rais wa TFF na baada ya hapo, tayari ameapishwa rasmi hapa mjini Dodoma.