DC SERENGETI ATAKAYESABABISHA MIMBA KWA WATOTO WA SHULE KUKIONA CHA MOTO
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akipiga Marufuku suala la Mimba Mashuleni ambapo amesema kuwa Serikali itachukua hatua kali kwa yule atakayebainika kusababisha ujauzito kwa Watoto wa Shule, Mkuu wa wilaya ametoa kauli hiyo kipindi akipokea msaada wa vitanda 15 vyenye thamani ya shilingi Mill7.3 kutoka Kampuni ya Grumeti Fund iliyopo Wilayani Serengeti Mkoani Mara. |
Wanafunzi wa Serengeti sekondari. VIDEO SIKILIZA ALICHOKISEMA MKUU WA WILAYA YA SERENGETI NURDIN BABU