TAZAMA VIDEO, PICHA KATIKA MATUKIO TOFAUTI MAADHIMISHO YA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA WILAYA YA RORYA MKOANI MARA.


Mkuu
wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa akikabidhi Ngao ya utambuzi katika
uongozi Mbunge wa Jimbo la Rorya Lamreck Airo katika Maadhimisho ya
Miaka10 ya tangu kuanzishwa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Halmashauri
hiyo kipindi inaanza Mbunge huyo alikuwa Diwani.


Prof Julius Nyahongo akitoa Mada katika Sherehe hizo zilizofanyika Makao Makuu ya Wilaya ya Rorya.

MC: Charles Machugu akiwa kazini kwa ajili ya Kusherehesha katika Maadhimisho hayo.



Majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rorya.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Charles Chacha akiongea na Wanachi wa Rorya katika maadhimisho hayo
Mkuu
wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa akihutubia wanachi wa Rorya ambapo
amesisitiza ujenzi wa Hospitali ya Wilaya na kuanza kuchangia Mifuko 500
ya Saruji na kuungwa Mkono na wadau mbalimbali huku Mbunge wa Jimbo la
Rorya Mh Lameck Airo akitoa Tani 30 ya Mifuko ya Saruji, Hata hivyo Mkuu
wa Mkoa wa Mara amezungumzia suala zima la Kiwanda cha Utegi
kilichokuwa kinasindika Maziwa na Shamba na kuangiza wawekezaji
warudishe mapema kwani wameshindwa kuliendeleza.

"Eneo
hilo la shamba linafaa hata kilimo cha Miwa nitalifikisha kwa Mh Rais
mapema ili liweze kufanyiwa kazi" alisema Mkuu wa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa akitunuku vyeti kwa viongozi ambao ni waasisi wa Wilaya hiyo.





Mkuu
wa Wila ya Rorya akikabidhi Ngao kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles
Mlingwa kwa kutambua Mchango wake na ushiriki katika maadhimisho hayo
kama Mgeni rasmi.







                               Burudani.
Mkurugezni wa Wilaya ya Rorya Charles Chacha  akifafanua jambo katika maadhimisho hayo.
Mbunge
wa Jimbo la Rorya Lameck Airo akiongea na Wanachi na kuchangia Tani
  30 ya Mifuko ya Saruji kwa lengo la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya
Rorya.
Thobia
Raya ambaye ni MNEC Wilayani Rorya akiongea na wakazi wa Rorya
nakuchangia Mifuko200 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa Hospital ya
Wilaya.
Mwl Kened Wembe akiongea na wananchi kwa ajili ya kuchangia ujenzi ambapo ametoa Cheki ya Shilingi Millioni Moja
Mwl
Kened Wembe akikabidhi cheki ya shilingi Millioni Moja kwa Mkuu wa Mkoa
wa Mara Dkt Charles Mlingwa kwa ajili ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya
ya Rorya.
Mkuu
wa Wilaya ya Rorya Simon Chacha akiongea na wanachi katika Maadhimisho
ya Miaka10 tangu kuanzishwa wilaya hiyo ambapo amewaomba wanachi
kuchangia kila Mtu shilingi 2000 kwa lengo la kukamisha ujenzi huo.

"Tutakapo
pita kuchangisha tunaomba ushirikiano Mkubwa ili tuweze kutimiza ndoto
yetu ya kuwa na Hospitali ya Wilaya" alisema Mkuu Wilaya Rorya.


Mkuu wa Wilaya ya Rorya akiongea na wananchi wake.



                         Mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Airo.
Mkuu wa Wialaya ya Rorya Simon Chacha.
 Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa.


Mkuu wa Mkoa akisalimiana na Katibu wa CCM Mkoa wa Mara.
SIKILIZA HOTUBA YA MKUU WA MKOA WA MARA ASISITIZA ELIMU,UWEKEZAJI, UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA,
Powered by Blogger.