VIDEO NA PICHA KATIKA MATUKIO :RPC TARIME RORYA HENRY MWAIBAMBE AKUTANA NA VIONGOZI WA BODABODA TARIME



Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Henry Mwaibambe akiongea na
viongozi wa waendesha pikipiki Bodaboda wilayani Tarime Mkoani Mara


Wakwanza
kushoto ni OCM Tarime Mjini Thomas Mapul akifuatia R.T.O Tarime Rorya
Joseph Bukombe na watatu ni Kamnada wa Polisi Tarime Rorya SACP Henry
Mwaibambe na wa pili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa waendesha pikipiki
Maarufu Bodaboda Marwa Kegoro katika Kikao cha pamoja kilichofanyika hii
leo katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi Mjini Tarime.
Kamanda Mwaibambe  kushoto akiteta jambo na R.T.O Tarime Rorya Joseph Bukombe
Viongozi wa Vijiwe mbalimbali vya waendesha pikipiki  wakisikiliza Kamanda wa Polisi Tarime Rorya SACP Henry Mwaibambe
Mwenyekiti
wa waendesha pikipiki Wilayani Tarime Marwa Kegoro akiwasilisha hoja
kwa Kamanda wa Polisi likiwemo suala la kiuwachukulia hatua kali boda
wanatembea na visu.



                     TAZAMA VIDEO  KAMANDA AKIONGEA NA VIONGOZI WA BODABOADA

Powered by Blogger.