RPC TARIME RORYA MWAIBAMBE NITASHIRIKIANA VYEMA NA JAMII WAKIWEMO VIONGO...
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Henry Mwaibambe akiongea na
Viongozi wa Dini, Wazee wa Mila ambao ni Muungano wa Jamii Tanzania
MUJATA katika kikao kilichoandaliwa na Muungano wa Jamii Tanzania MUJATA
nakufanyika katika ukumbi wa Bwalo la Polisi Mjini Tarime
Ambapo
kamanda amesema kuwa jeshi la polisi haliwezi kufanya kazi yake bila
kushirikiana na jamii kwa ujumla hivyo sasa amesema kuwa atashirikiana
vyema na jamii ili kuhakikisha Amani katika Wilaya ya Tarime inaendelea
kutawala.
"Mimi ni
kiongozi wa Serikali baada ya Miaka miwili nitaondoka atakuja Mwingine
lakini nyie wazee na jamii ya Tarime na Rorya mpo na jamii muda wote
kama ni waharifu munawafaaamu" alisema Kamanda.
Askofu wa kanisa la Island Nineveh Franco Stingo akiomba kabla ya Hotuba ya kamanda wa Polisi Tarime Rorya
Wazee wa Mila koo13 za Kikurya Tarime wakiwa katika Kikao hicho kilichoandaliwa na MUJATA
TAZAMA VIDEO KAMANDA AKIONGEA NA WAZEE WA MILA NA VIONGOZI WA MUJATA