PICHA, VIDEO CCM TARIME KUWACHUKULIA HATUA KALI WAGOMBEA WATAKAOTOA RUSHWA
Katibu
wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Tarime Mkoani Mara Hamis Mkaruka
akiongea na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi pia wagoimbea wa nafasi
mbalimbali za Ungozi zinazoendelea katika Chama hicho katika Semina
elekezi ambapo amepiga maruku wagombea kutoa rushwa kwa wajumbe ili
wachaguliwe.
"Hatakayebainika
kutoa rushwa kwa wajumbe kuzunguka na kufanya kampeni hata kama jina
lake limeisharudi tutalikata kama uchaguzi umeishafanyika tutaitisha
chaguzi Nyingine lazima tulinde heshima ya Chama" alisema Hamis.

Wagombea wa Nafasi Mbalimbali za Uongozi wakiwa katika Semina elekezi Ukumbi wa CCM Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
TAZAMA VIDEO ALICHOKISEMA KATIBU CCM TARIME NA WAGOMBEA