NAIBU WAZIRI JAFFO SASA HIKI SIYO KITUO CHA AFYA NI HOSPITALI YA HALMASH...



Naibu
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI)Suleiman Jaffo katikati akikagua Kituo cha Afya Nyamwaga
kinachojengwa na Kampuni ya Uchimbaji wa Dhahabu Nyamongo ACACIA ambapo
ameagiza kuwa sasa Majengo hayo yajengwa kwa lengo la kuwa Hospitali ya
Halamshauri ya Wilaya ya Tarime na Siyo Kituo cha Afya.


Hata hivyo ameitaka Halmashauri ya Wilaya kuanza ujenzi wa Makao makuu
Nyamwaga na kuamia Mara moja ili wapishe majengo wanayotumia ili
Halmshauri ya Mji waweze kuyatumia.

Baadhi ya Majengo yanayoendelea kujengwa kwa ajili ya Kituo cha Afya Nyamwaga.
TAZAMA
VIDEO CHINI NAIBU WAZIRI JAFFO AKITOA MAAGIZO KUHUSU UJENZI WA HOSPITAL
YA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME NA SIYO KITU CHA AFYA.


Powered by Blogger.