MWENYEKIT CCM RORYA SAMWEL KIBOYE NO3 AMPONGEZA IGP SIRRO
| Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Rorya Samwel Kiboye akitoa Shukrani zake na kupongeza IGP Kwa kazi katika kudumisha Ulinzi na Usalama wa Watanzania. |
| IGP akitoa Shukrani baada ya uzinduzi wa jengo la Kikosi cha Usalama Barabarani Tarime Rorya. |