JESHI LA POLISI KITENGO CHA DAWATI TUENDELEE KUSHIRIKIANA VYEMA NA MASHI...
Walimu, Wauguzi,na Jeshi la Plisi kitengo cha Dawati katika picha ya pamoja wakionesha nguvu ya pamoja kwa lengo la kuendelea kutetea na kulinda haki za mtoto wa kike Wilayani Tarime Mkoani Mara, wamekutana pamoja Ukumbi wa MCN Hotel kwa lengo la kuangali mpango kazi ambao uliwekwa baada ya kupewa mafunzo na Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF kwa ufadhili wa FORWARD UK |
Clara Wisiko Afisa Mradi kutoka Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF akifafanua jambo katika Kikao hich |
Neema Mathayo mwalimu kutoka Shule ya Msingi Kiongera akiwasilisha mada. |
Michango ya pamoja kupitia makundi yote kwa lengo la kubainisha Changamoto walizokutana nazo katimautendaji kazi |
Makundi yakiwasilisha Michango yao |
Harudiki Omary kutoka Dawati Wilaya ya Kipolisi Nyamwaga
akifafanua jambo katika Kikao hicho ni jinsi gani Jeshi hilo limeweza
kufanya kazi ambapo amesema Ngariba Mmoja amefungwa Miaka Miwili na
Wengine Wanne kesi zao ziko Mahakamani walikamatwa kutokana na Ukeketaji
ambao walifanya Mwaka jana.

Picha ya pamoja. |