AUAWA NA KUTUPWA KWENYE RAMBO LA MAJI TARIME



Wananchi
wakiwa katika Eneo la tukio  kwenye  Rambo lililopo Mtaa wa Nkende
Shuleni Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara wakishudia Mwili wa Mtu
mmoja ambaye jina lake halijafaamika baada ya kuawa na kutupwa katika
Rambo hilo.


Marehemu akiwa katika rambo la Maji kabla ya kutolewa  hajafaamika jina wala makazi yake 


                                                 Akitolewa kwenye Rambo hilo.

Rambo
la Maji lililopo Mtaa wa Nkende Shuleni ambapo ni mpakani mwa kata ya
Sabasaba na Nkende ambapo alitupwa Marehemu huyo na linatumika kwa
matumizi ya binadamu na Mifugo.



                         Wanachi wakiangalia mwili wa Marehemu ili kuweza kubaini.

                   TAZAMA VIDEO WANACHI WAKIZUNGUMZIA TUKIO HILO

Powered by Blogger.