MORATA AKATA MZIZI WA FITINA, AAMUA KUFUNGA NDOA NA MPENZIWE NCHINI UFARANSA
Mshambuliaji wa Real Madrid, Alvaro Morata amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi.
Morata raia wa Hispania, ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake mini Venice nchini Ufaransa katika kipindi kukiwa na gumzo kuwa huenda akajiunga na Manchester United.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 24, ameamua kutumia kipindi cha mapumziko kumaliza masuala aye ya kifamilia.
Amekuwa hana furaha sana kwa kuwa chapati nafasi ya kutosha katika kikosi cha Zinedine Zidane.