DARASSA AFANYA MAKAMUZI YA KIHISTORIA DAR LIVE

Staa wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ‘Darassa’ akifanya makamuzi Idd Mosi Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakheem jijini Dar usiku wa kuamkia leo. 

Darassa akisalimiana na mashabiki wake kabla ya kuanza shoo.

Darassa akifanya makamuzi.

Mashabiki wakipagawa na ngoma mpya ya muziki
(PICHA: RICHARD BUKOS/GPL)